Sunday, July 26, 2009

Toyota Chaser GX 100- Bei poa kabisa( SOLD -IMESHAUZWA)







Model: Toyota Chaser GX 100
MWAKA:1997
ENGINE: 1G, FE
Automatic gearbox
KM: 100,000
MAHALI: Dae es salaam
Gari ipo kwenye hali nzuri sana kama inavyooneka,ina kila kitu cha msingi ndani
BEI: 8.5M maelewano yapo,(negotiable)
Tupigie simu: 0713439707




Thursday, July 23, 2009

Toyota Dueti- 6.9M Tu(SOLD OUT)











MODEL:Toyota Dueti ya mwaka 2000
CC: 1000 sawa na bajaji jamani tu
KM 33000 tu, imagine!
Automatic gearbox
INA: driver &passenger airbag,power window,AC, Remote keyless entry,AM/FM radio, CD Player,Power door locks, power mirror, MATAIRI MAPYA.
BEI: 6.9M Fixed,
MAHALI: gari hii itafika Dar es salaam tar 20 August toka Japan
Gari hii ni kama mpya kabisa na tunauza bei ya chini ili tuwe karibu zaidi na wateja wetu, anayehitaji awasiliane na sisi fasta,
SIMU: 0713439707

Tuesday, July 21, 2009

TOYOTA PROGRESS








Model: Toyota Progress
Mwaka: 1998
Engine: 1JZ CC 2500 with VVT-I system
KM: 94400
Automatic gearbox
Mahali: Dar es salaam
Gari ina kila kitu cha msingi ndani na ipo kwenye hali nzuri sana
BEI: 12Million, maelewano yapo
SIMU: 0787-999921 AU 0713-413502



Monday, July 20, 2009

Toyota Mark II GX 90- BEI POA KABISA ( SOLD OUT)







Model: Toyota Mark II GX 90
CC 2000
Mwaka: 1999
Automatic gearbox
KM 120000
Mahali: Dar es salaam
Gari ipo kwenye hali nzuri
Bei: 6 Millioni na maelewano yapo ( negotiable)
SIMU: +255 754 621962 au 255 717 255 199

Thursday, July 16, 2009

TOYOTA CRESTA GX 100( SOLD OUT)










Model: GX 100
Mwaka: 1997
KM 117,000
Engine: 1G, FE
Sports reams
Ina full comprehensive Insurance
Gari ipo kwenye hali nzuri sana
BEI: 10Millioni, maelewano yapo.
SIMU: 0754 275723 au 0766 442525 au 0714 222077

Friday, July 10, 2009

Subaru Forester - Mwanza kazi kwenu


Model: Subaru Forester
Mwaka:2001
KM 100000
Rangi ya silver
Automatic Gearbox
Ina keyless entry,6 CD changer,booster,sports reams na Spoiler
Mahali gari ilipo: Mwanza
BEI: 15.5 Millioni, mazungumzo yapo
Gari ipo kwenya hali nzuri sana,kwa yeyote anayehitaji awasiliane nasi kupitia namba hizo hapo chini.
Tutwangie simu: +255 786 757606 au +255 759 133 099
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YANAWEZEKANA,ANZA SASA KUTEMBELEA MGONGO.