Wednesday, June 17, 2009

MARK II GX 110 KALI SANA- (SOLD OUT)












Gari ya mwaka 2000
CC 2000
Automatic gearbox
Km 160000
Ina AC,DVD,VIDEO,CASSET,KEYLES ENTRY
Gari ipo kwenye hali nzuri sana,imelipiwa kodi zote na imeshasajiliwa
Bei: Maelewano
Mahali: Morogoro, Tanzania
Simu 0754681872
Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana,anza sasa kutembelea mgongo

Monday, June 15, 2009

Toyota Duet bei ya kutupa-(SOLD)











Toyota Duet ya mwaka 2000
CC 1000
KM 70000
Automatic gearbox
AC,RADIO AM na FM
Gari imetulia na inawafaa wale waoga wa kununua mafuta,kwa maana mafuta ya lita 5 unaweza kutumia wiki nzima,haina tofauti na Bajaji kwenye utumiaji mafuta.
BEI: ya kutupa. Mteja mwenye nia ya kununua gari hii tafadhali tuandikie email
Au tutwangie 0713439707





Tuesday, June 9, 2009

Toyota Opa bei poa ( SOLD- IMESHAUZWA)











GARI YA MWAKA 2000
CC 2000 VVT-I Engine
Automatic gearbox
AC, KEYLESS ENTRY,CD AND CASSETE
Gari imelipiwa kodi zote na itasajiliwa kwa jina la mnunuaji
MAHALI: gari ipo Dar es salaam MBEZI BEACH
KM 130000
BEI: 11Milioni
PIGA SIMU +255713439707
Maisha bora kwa kila mtanzania yanawezekana,anza sasa kutembelea mgongo




Thursday, June 4, 2009

Toyota Raumu Bei Poa







GARI YA MWAKA 1999
CC 1500 VERY ECONOMY FOR FUEL CONSUPTION
ACC,TV,CD NA RADIO
AUTOMATIC GEARBOX
BEI 7MILLIONI
gari imelipiwa kodi zote na ina full comprehnsive insurance policy.
gari ipo kwenye hali nzuri sana, ipo MWENGE,DSM
SIMU +255753121272 mpigie mmilikiwake au

Toyota Opa Bei poa












GARI YA MWAKA 2000
AUTOMATIC GEAR BOX
CC 2000 VVTI-ENGINE
AC,CD,CASSETE,KEYLESS ENTRY
83000 KM
MAHALI: NJIANI TOKA JAPAN KWENDA DSM
BEI 11.5 M
Gari ipo kwenye nzuri sana,nigari ya kisasa na inayovutia kwa muonekano wake.
Wasiliana na mwenye gari +255713767399