Monday, June 15, 2009

Toyota Duet bei ya kutupa-(SOLD)











Toyota Duet ya mwaka 2000
CC 1000
KM 70000
Automatic gearbox
AC,RADIO AM na FM
Gari imetulia na inawafaa wale waoga wa kununua mafuta,kwa maana mafuta ya lita 5 unaweza kutumia wiki nzima,haina tofauti na Bajaji kwenye utumiaji mafuta.
BEI: ya kutupa. Mteja mwenye nia ya kununua gari hii tafadhali tuandikie email
Au tutwangie 0713439707





No comments:

Post a Comment