Wednesday, June 17, 2009

MARK II GX 110 KALI SANA- (SOLD OUT)












Gari ya mwaka 2000
CC 2000
Automatic gearbox
Km 160000
Ina AC,DVD,VIDEO,CASSET,KEYLES ENTRY
Gari ipo kwenye hali nzuri sana,imelipiwa kodi zote na imeshasajiliwa
Bei: Maelewano
Mahali: Morogoro, Tanzania
Simu 0754681872
Maisha bora kwa kila Mtanzania yanawezekana,anza sasa kutembelea mgongo

4 comments:

  1. Yaonekana bomba sana. Kwa hakika unawapa watu nafasi ya kuchagua kutafuta magari nje ama nyumbani.
    Thanx alote Brother
    Blessings

    ReplyDelete
  2. kaka mbona yangu hujaitoa...au busy?

    ReplyDelete
  3. Naomba wadau mtuelewe nia yetu hapa ni kuuza magari yenye viwango kwa wale ambao wametuma picha za magari yaliyochoka au kutokuwa na viwangu hatutayaweka dukani,nia yetu ni kuboresha maisha yetu kwa kuuza vitu vinavyokubalika.

    Magaribeipoa Team

    ReplyDelete
  4. Weka bei basi, neno "maelewano" siyo bei.

    ReplyDelete