Sunday, April 26, 2009

Q5 BEI POA KABISA


Wadau na mimi najitokeza kuunga kauli mbiu ya Mjomba kwamba MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, ili kutekeleza kwa vitendo kauli mbiu hiyo nataka kila mtanzania aweze kumiliki gari nzuri na kwa bei poa, kwa kuanzia naanza kama hivyo mshindwe wenyewe, bajaji zitatumaliza hahahahah

3 comments:

  1. sawa kaka tunashukuru kwa kuturahisishia kazi, tuko pamoja.

    ReplyDelete
  2. kaka nimekubali.....tuko pamoja...!

    ReplyDelete
  3. Nashukuru mzee wax boy kwa kuwa na mimi usikonde ukija bongo kama kawaida gari za masafa marefu kama kawaida,prado na mambo kama hayo kama kawa,ihana!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete