Saturday, April 25, 2009

Toyota premio bei poa-imeshauzwa (SOLD)


















MAELEZO YA GARI
TOYOTA PREMIO YA MWAKA 1998
AINA YA ENGINE NI D4
KM chini ya 100000
IMELIPIWA KODI ZOTE NA INA INSURANCE FULL CONPREHENSIVE
IPO KWENYE HALI NZURI SANA
BEI 7.5 m

1 comment:

  1. hiyo bei mbona unabana mwana,saba kavu vipi?mimi nitakupigia simu tuongee deal nahitaji hiyo gari to be honest

    ReplyDelete