Sunday, April 26, 2009

TAARIFA MUHIMU

Napenda kuwashukuru wadau kwa muitikio chanya mliotuonyesha wakutembelea duka letu la magari, sisi Magaribeipoa tunasema ahsanten sana na tunawaomba mzidi kutembelea dukani, stock nzuri na ya uhakika kwa bei poa ipo njiani.

Pia tunapenda kutoa rai kwa watanzania wote, kwa yeyote mwenye gari ambalo anataka kuliingiza dukani basi asisite kuwasiliana na sisi ili tuweze kufanya ukaguzi wa gari lake na kama lina viwango vinavyotakiwa kabla ya kuingizwa humu dukani

Sisi Magaribeipoa hatusiti kusema MAISHA BORA KWA KILA MBONGO yanawezekana kabisa

ANZA SASA KUTEMBELEA MGONGO, inawezekana!

wasiliana nasi kupitia emails zifuatazo

mrtnluther8@gmal.com
martinnako@yahoo.com

3 comments:

  1. thanks for good news

    ReplyDelete
  2. mkubwa kuna gharama yoyote kufanya biashara na wewe?

    ReplyDelete
  3. Magaribeipoa said
    kwa sasa sasa hakuna gharama yoyote sababu tupo kwenye promotion period,baada ya muda kutakukuwa na gharama ndogo sana kwa ajili ya kumeet adminstration cost,karibuni sana wadau

    ReplyDelete