Sunday, May 3, 2009

Toyota Avensis ya mwaka 2004- (SOLD)











GARI YA MWAKA 2004
IMETEMBEA KM 160000
CD PLAYER,KEYLESSENTRY,MD PLAYER
AUTOMATIC GEARBOX
Hii ni gari nzuri sana na ipo kwenye hali nzuri,kwa wale wanaojua magari hakutakuwa na ubishi juu ya hilo.
BEI: 16 Millioni
WASILIANA NASI
SIMU: +255713439707
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YANAWEZEKANA, ANZA SASA KUTEMBELEA MGONGO.




4 comments:

  1. Tuko pamoja kaka.. Vitu ni vya moto na ubora ni wa hali ya juu tunao ukubali. Everyone should contact Tin Boy katika masuala ya "Kutambaa kwa Mgongo"
    MwasiJapan.

    ReplyDelete
  2. Kaka Nimekubali na ninasema hii ni njia nzuri ya mnada. Nikija bongo nataka nikutafute hata gari ya kukodi nikuungishe mkono. Sitaki kutembelea vibajaji kwani vifo nje nje.

    Nakutakia kazi njema na ninasema kwa wale watanzania wote wanaotaka magari hapa ndo penyewe kwani mambo ni uwazi na jamaa anajua nini maana ya biashara kwani, amekaa nchi za watu na anajua kwaliti na ahadi

    ReplyDelete
  3. nimepita kuusalimu nimekuona kwa kaka Kitururu

    ReplyDelete
  4. Mimi mzima Dada Yasinta nashukuru karibu tutembelee mgongo!

    ReplyDelete