Wednesday, May 27, 2009

Toyota Ipsum Bei poa-(SOLD- IMESHAUZWA)











GARI MWAKA 2000
KM 76200
ENGINE 2000 CC
AUTOMATIC GEAR BOX
CDPLAYER,AIR CONDITION
Gari inasafirishwa toka Japan kwenda Dar es Salaam, ipo kwenye hali nzuri sana kama inavyoonekana kwenye picha
BEI: 9.3 Milioni,maongezi yapo
Wasilina na mwenyewe
SIMU: +255713767399
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YANAWEZEKANA,ANZA SASA KUTEMBELEA MGONGO




Sunday, May 3, 2009

Toyota Avensis ya mwaka 2004- (SOLD)











GARI YA MWAKA 2004
IMETEMBEA KM 160000
CD PLAYER,KEYLESSENTRY,MD PLAYER
AUTOMATIC GEARBOX
Hii ni gari nzuri sana na ipo kwenye hali nzuri,kwa wale wanaojua magari hakutakuwa na ubishi juu ya hilo.
BEI: 16 Millioni
WASILIANA NASI
SIMU: +255713439707
MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA YANAWEZEKANA, ANZA SASA KUTEMBELEA MGONGO.




Sunday, April 26, 2009

TAARIFA MUHIMU

Napenda kuwashukuru wadau kwa muitikio chanya mliotuonyesha wakutembelea duka letu la magari, sisi Magaribeipoa tunasema ahsanten sana na tunawaomba mzidi kutembelea dukani, stock nzuri na ya uhakika kwa bei poa ipo njiani.

Pia tunapenda kutoa rai kwa watanzania wote, kwa yeyote mwenye gari ambalo anataka kuliingiza dukani basi asisite kuwasiliana na sisi ili tuweze kufanya ukaguzi wa gari lake na kama lina viwango vinavyotakiwa kabla ya kuingizwa humu dukani

Sisi Magaribeipoa hatusiti kusema MAISHA BORA KWA KILA MBONGO yanawezekana kabisa

ANZA SASA KUTEMBELEA MGONGO, inawezekana!

wasiliana nasi kupitia emails zifuatazo

mrtnluther8@gmal.com
martinnako@yahoo.com

Nissan Sunny- imeshauzwa( SOLD)











GARI YA MWAKA 2000
KM 102000
ENGINE CAPACITY 1500 CC
GARI IPO KWENYE HALI NZURI SANA, INATUMIA MAFUTA VIZURI SANA NA BEI YAKE NI RAHISI
BEI 8MILLION, GARI ITASAJILIWA KWA JINA LA MNUNUZI WASILIANA NAMI AT





Q5 BEI POA KABISA


Wadau na mimi najitokeza kuunga kauli mbiu ya Mjomba kwamba MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA, ili kutekeleza kwa vitendo kauli mbiu hiyo nataka kila mtanzania aweze kumiliki gari nzuri na kwa bei poa, kwa kuanzia naanza kama hivyo mshindwe wenyewe, bajaji zitatumaliza hahahahah

Saturday, April 25, 2009

Toyota premio bei poa-imeshauzwa (SOLD)


















MAELEZO YA GARI
TOYOTA PREMIO YA MWAKA 1998
AINA YA ENGINE NI D4
KM chini ya 100000
IMELIPIWA KODI ZOTE NA INA INSURANCE FULL CONPREHENSIVE
IPO KWENYE HALI NZURI SANA
BEI 7.5 m